Wapiga Kura wa Nigeria leo walipaswa kuteremka vituoni kumchagua rais lakini uchaguzi huo umeahirishwa kwa juma moja hadi Jumamosi ijayo ya Tarehe 23 Februari//Mkutano wa Kiusalama wa Munich unaingia siku yake ya pili huku ajenda kama kitisho cha makundi yenye itikadi kali za Kiislamu zikijadiliwa.