Burundi inatimiza miaka miwili tangu jaribio la mapinduzi lililoshindwa kumuondoa madarakani Rais Pierre Nkurunziza. Kenya inajizatiti kufikia malengo ya maendeleo ya milenia kwa kuhakikisha maslahi ya watoto wanaoishi mazingira magumu yanaafikiwa. Ligi ya Ujerumani-Bundesliga leo hii inangia katika mzunguko wake wa 33, ambapo viwanja kadhaa vitawaka moto.