SiasaMatangazo ya asubuhi 13.01.2024To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaTSA / S08S13.01.202413 Januari 2024Wakati mzozo kati ya Israel na Hamas ukiendelea, moja ya masuala yanayowakabili Wapalestina wengi ni iwapo wataweza kurejea kwenye makazi yao katika Ukanda wa Gaza baada ya vita. Huu ni miongoni mwa uchambuzi asubuhi hii. https://p.dw.com/p/4bC33Matangazo