1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 11.11.2017

Yusra Buwayhid
11 Novemba 2017

Maisha yanazidi kuwa mabaya na wala hakuna dalili za kumalizika kwa vita vya nchini Yemen. Mkutano wa Mazingira wa Kidunia wa Cop23 unaendelea mjini Bonn, ajenda kubwa ikiwa ni kuyaendeleza makubaliano ya utunzaji wa mazingira yaliyofanyika Paris. Rais Robert Mugabe kumuondoa madarakani makamu wake na mshirika wake wa muda mrefu huenda ikasababisha athari kubwa.

https://p.dw.com/p/2nRVm