Tuliyo nayo: Wanasiasa kutoka kambi zote za kisiasa nchini Ujerumani wanajitokeza kama wafuasi wa siasa kali. Miaka 20 iliyopita eneo la Ukingo wa Magharibi la Amona ambalo lilikaliwa kwa nguvu na walowezi wa Kiyahudi hatimaye hukumu yapatikana. Na idadi ya wakulima wanaovuna na kula wadudu kama vile mchwa imeongekeza hasa katika maeneo ya mashariki na magharibi mwa Kenya.