Raia 14,000 wa Nigeria waliokuwa wamekwama nchini Libya wakielekea barani Ulaya wamerejeshwa kwao. Swala la magonjwa ya kiakili linakabiliwa na unyanyapaa hali inayowaacha wengi wakiteseka kimya Kenya. Na, Ujerumani inadhamini mradi wa utafiti wa mabadiliko ya tabianchi katika eneo la Afrika Magharibi.