1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 02.11.2016

Sylvia Mwehozi
2 Novemba 2016

Tutaangalia wasifu wa Donald Trump siku chache kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Marekani. Umoja wa Ulaya unajaribu kuijenga tena Libya miaka mitano baada ya kifo cha Muammar Gaddhaffi na pia uchambuzi juu ya uchumi wa taifa la Zimbabwe.

https://p.dw.com/p/2S0eW