Karibu kusikiliza matangazo ya asubuhi. Miongoni taarifa tulizo nazo ni dhana mpya ya kimkakati ya Umoja wa kujihami wa NATO inasisitiza kuwa muungano huo hauwezi kuondoa uwezekano wa shambulio dhidi ya mamlaka na uadilifu wa eneo la wanachama wake binafsi, bali inaweza kulinda wanachama wake dhidi ya shambulio la Urusi lakini sio dhidi ya matatizo yao ya ndani