JamiiAfrikaMataifa ya Afrika na mpango wa kukomesha maambukizi ya HIVTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiAfrikaFlorence Majani02.02.20232 Februari 2023Mataifa 12 ya Afrika yametangaza mipango ya kukomesha maambukizo ya virusi vya Ukimwi kwa watoto ifikapo mwaka 2030 kupitia programu za upimaji, matibabu na kinga kama anavyoripoti Florence Majani kutoka Dar es salaam.https://p.dw.com/p/4N0onMatangazo