1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mashine ya kupima wagonjwa kwa Intaneti

Veronica Natalis14 Septemba 2022

Wakati wa Corona wazo la kubuni aina hii ya mashine ndio lilianzishwa, lengo likiwa ni kusaidia wahudumu wa Afya pamoja na wagonjwa kuhakikisha ufuatiliaji wa wagonjwa unafanyika kwa kutumia internet. Kujua namna inavyofanya kazi ungana na Veronica Natalis katika makala hii ya sema uvume

https://p.dw.com/p/4GpUW