Watu wanane wakiwemo askari 6 wa jeshi la Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wameuawa mwishoni mwa juma katika mashambulizi ya makundi 3 yenye silaha dhidi ya ngome za jeshi la Congo katika kijiji cha Tuwe-Tuwe wilayani Mwenga. Jeshi la nchi hiyo limesema watu 9 wamejeruhiwa vibaya. Sikiliza ripoti ya Mitima Delachance.