1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mashambulizi ya ngome ya Al Shabaab Somalia

17 Januari 2012

Watu wa familia moja ya watu saba wameuwawa kusini mwa Somalia wakati yalipofanyika mashambulizi ya ngome ya Al Shabaab.

https://p.dw.com/p/13kjy
FILE - This Dec. 8, 2008 file photo shows armed fighters from Somalia's al-Shabab jihadist movement traveling on the back of pickup trucks outside Mogadishu. Training camps in the lawless nation of Somalia are attracting hundreds of foreigners, including Americans, and Somalis recruited by a local insurgent group linked to al-Qaida, according to local and U.S. officials. American officials and private analysts say the camps pose a security threat far beyond the borders of Somalia, including to the U.S. homeland. (AP Photo/Farah Abdi Warsameh, File)
Wanamgambo wa Al-ShabaabPicha: AP

Kufuatia kuuwawa kwa familia moja ya watu saba kusini mwa somalia wakati Kenya iliposhambulia ngome ya Al Shabaab kutoka angani na kuuwa pia wanamgambo saba wa Al Shabaab, sasa wakaazi wa eneo hilo wameitaka Kenya kuwa makini katika vita vyake wakisema, nchi hiyo izingatie kuwalenga Al shabaab na sio raia wasiokuwa na hatia.

Amina Abubakar amezungumza na Naibu msemaji wa polisi wa Kenya Charles Owino kupata ufafanuzi zaidi juu ya hilo.

Mwandishi Amina Abubakar

Mhariri Yusuf Saumu