Mbiu ya Mnyonge, inaaangazia kilio cha wakimbizi kuhusu kuzuiliwa kufanya biashara katika kambi ya Nduta wilayani Kibondo nchini Tanzania sambamba na ufafanuzi wa kitaalamu kutoka kwa wizara ya mambo ya ndani ya nchi. Mwandaaji na msimulizi wako ni mimi Prosper Kwigize.