1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Marekani yamuua afisa mwandamizi wa Iran

3 Januari 2020

Mkuu wa jeshi maalumu la Iran Generali Qassem Soleimani ameuawa katika shambulizi la angani lililofanywa na Marekani mjini Baghdad hatua inayozidi kuchochea wasiwasi wa kuongezeka kwa mvutano baina ya mataifa hayo.#Kurunzi

https://p.dw.com/p/3VfhL