1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Marekani yaidhinisha msaada zaidi wa kijeshi kwa Ukraine

22 Aprili 2024

Baraza la wawakilishi la Marekani kwa kupitisha msaada wa kijeshi wenye thamani ya dola bilioni 61 za Kimarekani kwa ajili ya Ukraine. Je wachambuzi wanaitathmini vipi hatua hiyo? Sikiliza uchambuzi wake Profesa David Monda, akiwa mjini New York.

https://p.dw.com/p/4f2m0