Kwenye Afrika wiki hii ,Sudan yaendelea kushuhudia mapigano kati ya jeshi rasmi la serikali na kikosi cha wanamgambo wa RSF licha ya kuwepo makubaliano ya usitishaji vita. Bara la Afrika laadhimisha miaka 60 ya ukombozi wa bara hilo wito uliotolewa ukihimiza juu ya amani. Na Wakongomani walalamikia mchakato wa ukaguzi wa daftari la wapiga kura.Kwa hayo na mengine jiunge na Saumu Mwasimba.