You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Picha: DW/G. Ketels
Picha: DW/G. Ketels
Mapambano dhidi ya mauaji ya Albino
Tunaangazia visa vya kuuliwa kwa albino na juhudi za kuwalinda
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Msanii aliyejitosa kutetea haki za Maalbino
Mutalemwa Jason kwa jina la kisanii Mc Nash kutokea Tanzania ni msanii wa muziki wa kufokafoka au Hip Hop. Ametumia jukwaa hilo kuchangia mageuzi ya jamii yake. Nash anapambana kuzima vitendo vya ukatili, mauaji na utekaji nchini Tanzania. #kurunzi
Mtoto mwenye ulemavu wa ngozi akutwa ameuawa Tanzania
Hofu yatanda Tanzania miongoni mwa watu wanaoishi na ulemavu wa ngozi kufuatia tukio la mtoto wa umri wa miaka miwili ambaye mwili wake ulipatikana Jumatatu katika wilaya ya Muleba, ukiwa hauna baadhi ya sehemu za viungo vyake. Mtoto huyo anadaiwa kutekwa mikononi mwa mamake mnamo Mei 30. Jacob Safari amezungumza na mwenyekiti wa Chama cha Maalbino Tanzania Godson Molel kuhusu tukio hilo.
Tanzania: mtoto mwenye ualbino atoweka
Mtoto mwenye ualbino, Asiimwe Novath, aliyekuwa na umri wa miaka miwili na nusu alichukuliwa nyumbani kwao Kagera.
Fahamu mradi wa wanawake wenye ulemavu wa ngozi Uganda
Nchini Uganda, watu wenye ulemavu wa ngozi bado wanakabiliwa na dhulma nyingi dhidi yao licha ya harakati za wadau mbali mbali kutokomeza dhulma hizo. #Kurunzi
02.10.2021 Kipindi cha Karibuni
Kamanda Jamal Rwambow, kachero mstaafu wa polisi aliyeshinda vita dhidi ya mauwaji ya jamii ya watu wenye ulemavu wa ngozi Kanda ya Ziwa. Pamoja na mingine msikilize alipozungumza na Sudi Mnette kuhusu kitabu chake kipya "Maisha ya kachero wa jeshi la polisi."
Tatizo la ulemavu wa ngozi kwa watoto Kigoma
Katika makala ya Mbiu ya Mnyonge, safari hii tunaangazia tatizo la ulemavu wa ngozi kwa watoto na jinsi tatizo hilo huwasababishia masaibu mengine. Tunatua hali ilivyo eneo la Kigoma.
Changamoto za walemavu wa ngozi wakati wa COVID-19
Kuishi na ulemavu wa ngozi ni changamoto katika mataifa mengi ya Afrika. Katika kipindi hiki cha janga la COVID-19, ni changamoto gani zaidi wanazokabiliana nazo?
Watoto, wanawake na albino wanaathirika zaidi Tanzania
Haki za watoto, wanawake na albino bado zinakiukwa zaidi Tanzania, kulingana na ripoti mpya.
Kamanda Simon Sirro pia amewaonya wanaofanya ukatili
Kamanda Sirro alikuwa ziarani Shinyanga na Simiyu ambako watoto wawili na mwanamke mmoja waliuawa na viungo kunyofolewa.
Higini Mwacha ana ndoto ya kuwa tajiri
Licha ya kuwa ni mlemavu wa ngozi, hiyo haijawahi kumkwamisha Higini kuendeleza harakati za kutimiza ndoto zake.
Matangazo ya Asubuhi 02.02.2019
Shirika la kimataifa linaloshughulikia maslahi ya watu wenye ualbino la under the same sun limesema kuwa visa vya utekwaji, kujeruhi pamoja na mauaji ambayo yamekuwa yakishuhudiwa mara kwa mara nchini Tanzania yanapungua kutokana na elimu kuwafikia wanajamii.
Ni nani Bwana na Bibi Albino Afrika Mashariki?
Tazama jinsi tamasha la kumchagua Bwana na Bibi Albino Afrika Masharik lilivyokuwa jijini Nairobi mwishoni mwa wiki ambapo liliwahusisha washiriki kutoka Tanzania na pia Uganda.
Kuishi na ulemavu wa ngozi nchini Kenya, nini cha tofauti?
Kuishi na ualbino unaweza kuwa hatari kwa mataifa mengine barani Afrika, lakini sio Kenya.
Serikali kuwasaidia albino Uganda
Spika wa Bunge la Uganda Rebecca Kadaga ameahidi atashinikiza kuwepo sheria za kulinda wenye ulemavu wa ngozi.
Unyanyapaa dhidi ya walemavu wa ngozi ungalipo
Dunia wiki hii imeadhimisha siku ya kuwahamasisha watu kuhusiana na ulemavu wa ngozi kwani ubaguzi dhidi ya walemavu hao ungalipo. Vile vile imani potofu za kishirikina kuhusu uwezo wa sehemu za watu hao kutibu magonjwa na hata kuleta utajiri zimewatia hatarini.
Ras Six mwanamuziki na mwanaharakati wa Tanzania
Ras Six mwanamuziki na mwanaharakati wa Tanzania
Sasa ni Seneta anayejivunia kwa kutetea wenye ualbino
Tanzania imewahi kuwa na Mbunge na Naibu Waziri mwenye ulemavu wa ngozi
"Haki ya ushiriki, haki ya ujumuishi"
Hiyo ndiyo kaulimbiu ya Siku ya Kutetea Haki za Maalbino Duniani, inayoadhimishwa kila tarehe 13 Juni.
Mapendekezo ya mkutano wa albino
Mapendekezo matatu yametolewa kwa nchi za Afrika kuyafanyia kazi, ili kudhibiti ukatili na mauaji dhidi ya watu wenye ualbino. Mapendekezo hayo yametolewa katika mkutano wa kilele dhidi ya ukatili na mauaji kwa watu wenye ualbino. Miongoni mwao ni udhibiti wa mipaka ya nchi kwa watu wanaopita na watu wenye ualbino pamoja na kusakafia makaburi ili yasiweze kufukulliwa na wahalifu.
Changamoto ya mauwaji ya Albino inayoikabili Tanzania
Tarehe 13 Juni ni Siku ya Kimataifa ya Mwamko kwa Watu wenye Ulemavu wa Ngozi. Tanzania inaripotiwa kuwa ni nchi ilioathirika zaidi, na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi. Mohammed Dahman amezungumza na Mussa Kabinba Katibu Mkuu wa Chama cha Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi nchini Tanzania, juu ya changamoto inayoikabili jamii yao.
Walemavu wa ngozi Malawi hatarini
Polisi wamelaumiwa kuwa kushindwa kuwalinda walemavu wa ngozi
Watu saba wauawa kwa kuchomwa moto Malawi
Genge la watu limewauwa watu saba Mali kwa kuwachoma moto kuhusiana na tuhuma za uchawi
Henry Mdimu, mwandishi wa habari albino
Tanzania inajulikana kwa mashambulizi dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi. Mashambulizi mengi hutokana na kukosa uelewa
Wenye ulemavu wa ngozi wapiga kura
Wenye ulemavu wa ngozi wapiga kura
Mapambano ya mwandishi albino dhidi ya unyanyapaa
Henry Mdimu, mwandishi wa habari albino nchini Tanzania ameamua kuitumia kazi yake kuwaelimisha watu, na kujaribu kubadilisha imani potofu juu ya ulemavu wa ngozi.
Siku ya Kimataifa ya Ulemavu wa Ngozi
Leo ni Siku ya Kimataifa ya Ulemavu wa Ngozi. Makundi ya haki yameongeza kampeni kuhusu masaibu ya watu wenye ulemavu huo. Katika nchi kama Tanzania, watu hao wanakabiliwa na vitisho vya kuuliwa kwa imani za kishirikina
Wito kwa serikali ya Kenya
Wanaharakati mjini Kisumu wametoa wito kwa serikali kuongeza juhudi za kukabiliana na changamoto za walemavu wa ngozi.
Wageni wasiotambulika
Familia ya Anna mwenye umri wa miaka 30 inaishi katika hali ya hofu kubwa ya kupoteza maisha yake wakati wowote.
Vitisho vya mara kwa mara
Nchini Uganda, watu walio na ulemavu wa ngozi huishi maisha yenye changamoto nyingi tangu utotoni.
Dakta Abdalla Possi "Ulemavu si Kilema"
Katika mahojiano maalumu na DW Dakta Possi anaelezea maisha yake kama mtu mwenye ulemavu wa ngozi na vipi alivyofaulu kuvikabili vipingamizi vilivyomkabili hadi kufikia alipo hivi sasa katika maisha yake.
Mapambano dhidi ya mauaji ya albino
Tunaangazia visa vya kuuliwa kwa albino na juhudi za kuwalinda
Kampeni ya "Imetosha" kweli yatosha kuwakinga albino?
Miongoni mwa kampeni zilizoanzishwa kupambana na mauaji na mateso dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Tanzania ni ile iliyoasisiwa na mwandishi wa habari Henry Mdimu iitwayo "Imetosha".
Mtafaruku ndani ya kampeni dhidi ya mauaji ya albino
Kampeni za kuhamasisha umma na kupinga mateso na mauaji yanayofanywa dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi zimekuwa zikiendelea nchini Tanzania, lakini kuna malalamiko ya kutokuwepo kwa umoja kusimamia kampeni hizo.
Kiwakumbacho walemavu wa ngozi si mauaji pekee
Tatizo kubwa linalowakera walemavu wa ngozi ni ubaguzi, kudhalilishwa na kujihisi kutengwa.
Umoja wa Mataifa waunda chombo kusimamia albino
Umoja wa Mataifa waunda chombo kusimamia albino
Tanzania yaanzisha Kombe la Amani kwa albino
Tanzania yaanzisha Kombe la Amani kwa albino
Mabula: Maisha ya wanangu ni magumu
Dotto Mohamed mwenye umri wa miaka sita na Shija Mohamed mwenye umri wa miaka minne ni walemavu wa ngozi.
Maoni:Kadhia ya mauaji ya walemavu wa ngozi Tanzania
Maoni:Kadhia ya mauaji ya walemavu wa ngozi Tanzania
Bado albino hayuko salama Tanzania
Mkuu wa kituo kinachowahifadhi watoto wenye ulemavu wa ngozi Shinyanga, anasema Tanzania bado si salama kwa watu hao.
"Naogopa kuishi nje ya kituo cha hifadhi"
Mtoto Hassan Khamis ni miongoni mwa walemavu wa ngozi wanaohifadhiwa kwenye kituo cha Buhangija nchini Tanzania na sasa akiwa ameshakuwa mkubwa na kulazimika kutoka hapo, anasema hana uhakika wa maisha yake.
"Tunawindwa kama wanyama"
Vyombo vya usalama nchini Malawi vinaeleza kuwa idadi ya watu wenye ulemavu wa ngozi wanaouliwa imepanda hivi karibuni.
"Mimi pia ni binaadamu, nina hisia"
Mbiu ya Mnyonge inasimulia hadithi ya mtoto Hassani na wenzake wenye ulemavu wa ngozi kwenye kituo cha Skuli Maalum ya Msingi ya Buhangija, Tanzania, wakisema nao pia ni wanaadamu, wana hisia, wana ndoto na wana roho.
Mauaji ya Albino nchini Tanzania yazidi kuongezeka
Nchini Tanzania mauaji ya watu walio na ulemavu wa ngozi au Albino yameripotiwa kuzidi kuongezeka. Hii ni baada ya mtu mmoja mwenye ulemavu wa ngozi kuuwawa mkoani Simiyu na baadhi ya sehemu zake za mwili kunyofolewa.
Kila Mmoja ni Tofauti - Heshima kwa Makundi ya Wachache
Watu watatu wanabaguliwa miongoni mwa jamii kutokana na hali zao za ulemavu, kijinsia na maumbile. Haingepaswa.
Albino mwingine akatwa mkono Tanzania
Visa vya kunyofolewa viungo maalbino vinavyoongezeka kwa kasi mpya vimeanza kuwatisha watu wenye ulemavu huo wa ngozi na mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Tanzania
Mapambano dhidi ya mauaji ya albino
Tunaangazia visa vya kuuliwa kwa albino na juhudi za kuwalinda
Mashirika ya haki za binaadamu yawatetea albino nchini Tanzania
Nchini Tanzania mashirika manne yanayojishughulisha na haki za binadamu nchini humo yameifikisha serikali ya Jamhuri ya Muungano katika mahakama kuu kwa madai ya kuzembea kuzuia vitendo vya kinyama dhidi ya albino.
Albino au Zeruzeru: Namna ya kujitazama
Hali ya kuwa zeruzeru au kwa kiingereza Albino husababishwa na upungufu wa chembechembe za rangi ya ngozi,nywele na hata macho.Upungufu huo husababisha mtu kuwa na ngozi nyeupe na nywele na macho yasiyo na rangi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 1
Ukurasa unaofuatia