Paul Rusesabagina amehukumiwa kifungo cha kwenda jela miaka 25 kutokana na makosa yanayohusishwa na ugaidi. Amina Abubakar amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa anayefuatilia iasa za Rwanda Mercel Hamdun na kwanza ametaka kujua je hukumu hii ilitarajiwa?