1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Tanzania yabadili msimamo katika kupambana na COVID-19

21 Mei 2021

Wakati kila ishara zikionesha kuwa sasa Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan inabadilisha muelekeo wa namna ya kukabiliana na janga la virusi vya corona, Maoni Mbele ya Meza ya Duara kutoka DW Kiswahili inauliza: nini athari za mabadiliko haya kwenye vita dhidi ya janga hilo la kilimwengu na kwa siasa za ndani za Jamhuri hiyo ya Muungano katika eneo la Afrika Mashariki?

https://p.dw.com/p/3tiI3

Ungana na Mohammed Khelef ambaye atakuwa mwenyekiti wako katika kipindi cha Maoni meza ya duara.