1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni : Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika

10 Desemba 2021

Tanganyika ambayo sasa ni sehemu ya Jahmuri ya Muungano wa Tanzania wiki hii imeadhimisha miaka 60 ya uhuru. Nini hasa kilicho badilika nchini humo miongo sita baada ya uhuru ? Mohammed Khelef anakukaribisha kwenye maoni mbele ya meza ya duara.

https://p.dw.com/p/446mV