SiasaMaoni, miaka 57 ya muungano wa Tanganyika na ZanzibarTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasa26.04.202126 Aprili 2021https://p.dw.com/p/3seW8MatangazoNi miaka 57 tangu Tanganyika na Zanzibar kuungana, ikiwa ni nusu karne ya mahusiano baina ya mataifa mawili huru yaliyoamua kuungana. DW imekusanya baadhi ya maoni ya Watanzania jijini Dar es Salaam juu ya mafanikio na changamoto za muungano huo