1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Meza ya Duara: Mzozo wa uchaguzi nchini Somalia

Rashid Chilumba14 Januari 2022

Kwenye Maoni Mbele ya Meza ya Duara mara hii, Rashid Chilumba anaongoza mjadala juu ya mzozo wa uchaguzi nchini Somalia. Wachambuzi ni Ahmed Rajab, Abdulfatah Mussa, Ali Mutasa na Mohammed Abdillahi.

https://p.dw.com/p/45Xix