1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Mapinduzi ya kijeshi na mustakbali wa demokrasia

17 Septemba 2021

Je, jeshi linaanza kurejea kwenye hatamu tena? Je, kwa kuzingatia linavyopokelewa na wananchi na viongozi wengine wa kisiasa, kiraia na kidini katika eneo la Afrika Magharibi, huu unaanza kuwa utaratibu unaokubalika? Na ni upi wajibu wa taasisi za kikanda na kimataifa kwenye kuyalinda mafanikio ya kidemokrasia barani Afrika? Hayo ndiyo mada kwenye Maoni Mbele ya Meza ya Duara na Mohammed Khelef.

https://p.dw.com/p/40SVR