Maandamano yamekuwa yakishuhudiwa sehemu mbalimbali barani Afrika. Hivi karibuni raia waliandamana nchini Kenya, Afrika Kusini, Nigeria, Senegal na Tunisia. Katika kipindi chetu cha maoni mbele ya meza ya duara leo tunajadili harakati za wananchi kudai mabadiliko katika kushinikiza mageuzi Afrika.