Masuala kadhaa ya hivi karibuni yameiweka Kenya kwenye vichwa vya habari duniani, kuna maandamano ya wapinzani dhidi ya serikali, msiba mkubwa ulisobabaishwa na imani potovu na hata taifa hilokukumbwa na mfumuko wa bei unaoathiri maisha ya watu wa matabaka yote ya nchi hiyo. Kipindi hiki kinaijadili hali ya kisiasa na kijamii ilivyo nchini Kenya. Mtayarishaji ni Zainab Aziz.