1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: 'Biashara ya ugaidi'

Khelef Mohammed Mohammed17 Januari 2020

Katika Maoni leo suala tunaliliangazia ni kuhusu 'biashara ya ugaidi'. Swali kubwa mbele ya meza ya duara hivi leo ni kwa nini ugaidi umeendelea kuwepo licha ya jitihada kubwa za mataifa makubwa na madogo kupambana nao? Kwa nini, kwa mfano, mashariki mwa Afrika kumekuwa kukitajwa kila mara kwamba mashambulizi ya kigaidi yametokezea, hasa Kenya na Somalia? 

https://p.dw.com/p/3WNEK