JamiiAfrikaMamilioni wakabiliwa na njaa SomaliaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiAfrikaSylvia Mwehozi07.09.20227 Septemba 2022Umoja wa Mataifa umeonya kuwa njaa inayanyemelea maeneo mengi ya Somalia huku maisha ya mamilioni ya watu yakiwa hatarini na kutoa mwito wa kuongezwa mara moja kwa usaidizi wa jamii za vijijini zilizoathirika. https://p.dw.com/p/4GWt2Matangazo