1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makoko: Mji unaoelea majini Lagos Nigeria

12 Desemba 2019

Mji au mtaa wa mabanda wa Makoko ulioko Lagos Nigeria ni wa kipekee kwani unaelea kwenye maji. Tatizo ni kwamba hauna mpangilio wowote unaoweza kupatikana kwenye nyaraka zozote za mipangilio ya miji na pia haina ramani. Hata hivyo hali hiyo sasa inakaribia kubadilika, kufuatia juhudi za shirika lisilo la serikali Code for Africa pamoja na watu wa kujitolea.

https://p.dw.com/p/3Uh5z