Kulingana na shirika la chakula na kilimo duniani FAO, suala la chakula salama ni suala la kiafya na kiuchumi. Zaidi ya magonjwa 200 hutokana na kula chakula ambacho sio salama na kila mwaka watu laki tatu na nusu hufariki kutokana na kula chakula ambacho sio salama. Je ni mambo gani yanapaswa kuangaziwa kuhakikisha usalam wa chakula? Lubega Emmanuel anaeleza.