1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala Yetu Leo: Ukame wahamisha watu nchini Somalia

22 Juni 2022

Makala Yetu Leo inaangazia namna ukame unavyowaathiri raia nchini Somalia, ikiwemo kupoteza mifugo yao, vifo vya watoto na hata kupoteza makaazi. Neema Misheki ndiye nahodha wako.

https://p.dw.com/p/4D4cx