Je unazifahamu faida Kiswahili kuwa na siku yake katika Umoja wa Mataifa? Msikilize balozi Kenedy Gastorn wa mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa akiwa mmoja kati ya watu muhimu sana katika kufanikisha Julai 7 kuwa siku ya kiamataifa ya Kiswahili.