SiasaMakaburi ya wakimbizi wa Poland nchini TanzaniaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaGrace Kabogo12.09.201912 Septemba 2019Katika eneo la Tengeru mkoani Arusha kuna eneo la kitalii ambalo limetunza historia na kumbukumbu ya maisha ya raia wa Poland waliokwenda katika eneo hilo kama wakimbizi wakati wa Vita vya Pili vya Dunia. https://p.dw.com/p/3PThgMatangazo