Majimbo 44 kati ya 47 nchini Kenya yameripoti kuvamiwa na viwavi jeshi vinavyotishia usalama wa chakula katika majimbo hayo. Serikali ya kenya kupitia wizara ya Kilimo tayari imezindua mpango wa kusambaza dawa za kukabiliana na wadudu hao waharibifu. Michael Kwena ana maelezo zaidi kutoka Marsabit.