Idadi kubwa ya watoto wa umri mdogo wametumbukia katika maisha ya mitaani baada ya kufukuzwa majumbani mwao kwa tuhuma za kuitwa wachawi na familia zao
https://p.dw.com/p/2R7sc
Matangazo
Mjini Kinshasa, Zaidi ya watoto 25,000 wanaishi mitaani. Wengi wanajijengea jamii zao, zinazoongozwa na wale waliokomaa mitaani. Wanawalinda wadogo, ambao wengi wamejikuta mitaani baada ya kutuhumiwa kuwa wachawi na kufukuzwa makwao.