Wakristo kote duniani wanaadhimisha ufufuko wa mkombozi wao Yesu Kristo baada ya kipindi cha Kwaresma ambapo walishiriki mfungo wa siku 40. Sikiliza kipindi hiki maalum cha mahubiri ya Pasaka kilichoandaliwa naye Jacob Safari na Kasisi wa Kanisa Katoliki, Henry Ndune, kutoka Jimbo Kuu la Mombasa, Kenya.