Mahojiano na Profesa Ibrahim Lipumba kuhusu shirika la fedha la kimataifa IMF
2 Machi 2007Matangazo
Profesa Ibrahim Lipumba ambaye ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha CUF ni mchumi aliyebobea ambaye amewahi kufanya kazi katika shirika hilo.
Abubakary Liongo alifanya mahojiano na Profesa Lipumba na kwanza alimuuliza vipi Afrika imefaidika na shiriki hili.