1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano: Kansela Merkel azungumza na Rais Samia

2 Septemba 2021

Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Msemaji wa serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa, anaelezea kilichozungumzwa na viongozi hao wawili

https://p.dw.com/p/3zoam