Viongozi mahasimu wakubaliana kusitisha mapigano nchini Libya, baraza la wawakilishi la Marekani limepiga kura kuunga mkono muswada unaolenga vikwazo vipya dhidi ya Urusi na Mmoja wa washauri wakuu wa Kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Francis, Kadinali George Pell apandishwa kizimbani.