SiasaMahakama yaidhinisha ushindi wa KenyattaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasa20.11.201720 Novemba 2017Mahakama ya juu nchini Kenya yahalalisha ushindi wa rais Kenyatta. Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe aendelea kushinikzwa ajiuzulu, na mazungumzo ya kuunda serikali ya Ujerumani yavunjika. Papo kwa Papo 20.11.2017https://p.dw.com/p/2nx1mMatangazo