1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya: Mahakama yapinga uteuzi wa makatibu waandamizi

Thelma Mwadzaya 3 Julai 2023

Serikali ya Rais William Ruto imepata pigo jipya baada ya mahakama kuamuru kuwa uteuzi wa makatibu waandamizi 50 sio halali na unakiuka katiba. Viongozi hao 50 waliteuliwa na kuapishwa Machi mwaka huu baada ya bunge kususia shughuli ya kuwachuja. Dhamira ilikuwa kuwa manaibu wa mawaziri 22 waliopo.

https://p.dw.com/p/4TMvU