1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahakama nchini Kenya yaamuru mchungaji Mackenzie kubaki kizuizini

Halima Gongo10 Mei 2023

Mahakama nchini Kenya imeamuru Mchungaji Paul Mackenzie, mkewe Rhoda Mumbua na washukiwa wengine 16 wasalie korokoroni kwa siku thelathini zaidi ili kuruhusu kukamilishwa kwa uchunguzi juu ya kadhia vifo vya watu wanaodaiwa kujiua kwa njaa kwa maagizo ya mchungaji huyo. Hapo jana miili 21 ilifukuliwa shakahola na watu wengine watano kuokolewa wakiwa hai. Halima Gongo alituandalia taarifa hii.

https://p.dw.com/p/4RACf