Mwishoni mwa juma jijini Kigali kulifanyika mkutano wa kuandaa fainali ya kombe la dunia kwa wachezaji maveterani (Veteran Clubs World Championship) ambayo imepangwa kufanyika nchini Rwanda Mei 2024. Roger Milla, Khaliloe Fadiga na Patrick Mboma ni miongoni mwa majina yaliyovuma kwenye mchezo wa kandanda yaliyokuwa mjini Kigali. Msikilize Christopher Karenzi kutoka Rwanda.