Kutokana na janga la virusi vya corona kusimamisha kazi nyingi nchini Kenya, takwimu zinaonyehsa kwamba asilimia kubwa ya wanawake wanaotegemewa na familia zao wamepoteza ajira na kushindwa kujikimu kimaisha. Ungana na Wakio Mbogho ujue magumu wanayoyapitia wanawake katika wakati huu wa ugonjwa wa COVID-19.