Juhudi za kujenga demokrasia endelevu barani Afrika zimekuwa zikifanywa na wanaharakati na wadau mbalimbali. Wanaharakati wanasema demokrasia inaporomoka katika nchi nyingi kufuatia vitendo kama kuvunjwa kwa katiba, viongozi kunga’ang’ania madaraka, rushwa na ahadi za uongo. Wengi wanaamini kuna haja ya kufanyika mapinduzi ya kimfumo ili Afrika iweze kujitegemea. Zaidi ni kwenye Makala Yetu leo.