AfyaMafanikio: Njia ya Kijerumani kushughulikia janga la coronaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoAfya13.05.202013 Mei 2020Ujerumani imerekodi visa vichache vya vifo kutokana na janga la corona, ikilinganishwa na mataifa mengine. Aidha hospitali zake hazijakumbwa na shinikizo zaidi kama inavyoshuhudiwa kwingineko. Je siri ya mafanikio katika pambano lao ni ipi?https://p.dw.com/p/3cB4fMatangazo