1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

MADRID mzozo wa kidiplomasia baina ya Libya na Uhispania

29 Julai 2005
https://p.dw.com/p/CEpm

Watu nchini Uganda wanasuburi matokeo ya kura ya maoni iliyofanyika jana juu ya kuurejesha ama kutourejesha mfumo wa vyama vingi vya siasa baada ya kupigwa marufuku kwa miaka kadhaa.

Hatahivyo watu ni wachache tu walioenda kupiga kura.

Vyama vya upinzani hapo awali vilitoa mwito wa kuisusia kura hiyo ya maoni.

Vyama hivyo vimesema kuandaliwa kwa kura hiyo ni kupoteza fedha na wakati, kwa kuwa serikali na vyama karibu vyote vinataka kurudishwa kwa mfumo wa vyama vingi.

,