Machafuko nchini Somalia
23 Juni 2009Matangazo
Serikali hiyo imeomba mataifa ya nje yajiingize ili kuikoa serikali hiyo isianguke. Lakini wapiganaji wa Al-Shabab wamezionya nchi jirani kutofanya hivyo na kwenda umbali kuonya pindi ikijiingiza kijeshi Somalia, basi wapiganaji wa Al-Shabab watashambulia hadi Nairobi.
Othman Miraji alimuuliza balozi Bethuel Kiplagat, aliyewahi kuwa mwakilishi wa Kenya katika mzozo wa Somalia na sasa ni mkurugenzi wa Jukwaa la Amani kwa Afrika juu ya vitisho hivyo vya al-Shabab
Mahojiano:Othman Miraji/Balozi Bethuel Kiplagat
Mhariri: M.Abdul-Rahman