Wakaazi wa Dar-es.Salaam wameonekana kwa wingi katika masoko ya bidhaa mbali mbali za mahitaji kwa ajili ya sikukuu. Moja ya changamoto inayoibuka wakati wa sikukuu ni kupanda kwa gharama za vyakula na mavazi. Yakub Talib ametuandalia ya sharma shamra za maandalizi.