1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mzozo kati ya Kenya na Somalia wachukua sura mpya

27 Mei 2019

Mzozo wa mpaka kati ya Kenya na Somalia umechukua mwelekeo mpya.Somalia imewawekea marufuku maafisa wake kuhudhuria vikao vyovyote vinavyofanyika jijini Nairobi.Haya yanajiri baada ya viongozi watatu wa Somalia kunyimwa vibali kuingia Kenya.

https://p.dw.com/p/3JCpL