Mvua nyingi zinazoshuhudiwa maeneo kadhaa Kenya zimesababisha maafa katika maeneo mbalimbali nchini humo. Wengi wamelazimika kuyaacha makwao kwa sababu ya mafuriko na sasa baadhi yao wanahofia watakuwa katika natari kubya ya kuambukizwa na virusi vya corona. #kurunzi